MZENGWE: Makamu Mwenyekiti Chadema

MZENGWE: Makamu Mwenyekiti Chadema, vitimbi vya watawala vinaongezeka, sisi hatukati tamaa!

Uchaguzi 2025 – Mzengwe wa wanahabari

Mzengwe wa wanahabari ni moja ya video za mahojiano kati ya Jenerali na wataalam kutoka nyanja tofauti. Kanda hii ni ya majadiliano na wanahabari kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 nchini Tanzania. Itazame kanda hapa chini…

Mzengwe wa vyama vya siasa

Oktoba 27 2025 Vyama vya siasa vinautathmini vipi Uchaguzi Mkuu 2025 siku mbili kabla ya Oktoba 29. || I || II

Mzengwe – Mwaliko wa Jenerali

Welcome to Mzengwe. A caucus where Jenerali Ulimwengu shares a platform with you to discuss matters that affect our society, politically, economically, culturally, and so forth. Jenerali Ulimwengu anakualika kujadiliana naye masuala mbalimbali ya kijamii, kisiasa, kiuchumi na kadhalika .