Asiyejua kufa aangalie kaburi

1995 TAYARI zile siasa ninazoziongelea kila siku zimekwisha kujitokeza katika kampeni zinazofanywa kuhusu uchaguzi wa Oktoba mwaka 1995. Tayari baadhi ya washindani na mashabiki wao wamekwisha kufika mahali wakaona kwamba kampeni safi zisizo za kashfa hazitawawezesha kushinda katika uchaguzi. Tayari wameanza kutumia vigezo ambavyo havina uhusiano na uwezo wa mtu katika uongozi. Tayari dini imeingizwa katika mashindano ambayo tumesema yaamuliwe kwa misingi ya nani anaweza kuongoza Watanzania vyema zaidi kuliko…

Membership Required

You must be a member to access this content.

View Membership Levels

Already a member? Log in here