Rai ya Jenerali – Juzuu III

Huu ni mkusanyiko wa makala zilizoandikwa katika safu ya “Rai ya Jenerali,” zilizoanza pamoja na gazeti la Rai, gazeti lililoanzishwa mwezi Novemba mwaka 1993 na kujipatia umaarufu mkubwa kwa muda mrefu kidogo. Makala hizi niliziandika kwa makusudi ya kuchokoza tafakuri, kuchangamsha mawazo na kuchochea fikra za kutafuta njia na mikakati ya kuiendeleza nchi yetu kwa kupambanisha bongo zetu. Muonekano wa juu wa kitabu hiki unatoa taswira ya ukurasa uliobeba makala hizi wakati zikichapishwa kwa mara ya kwanza mwaka 1993 hadi miaka ya katikati ya muongo wa 2000.

Unaweza kukisoma kitabu hiki hapa hapa mtandaoni kwa kubonyeza kitufe chekundu kilichoko hapa chini.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *