Buriani, Giriki Kritsos: Usingalikuwapo tungalikutengeneza!
Alipelekwa Peramiho kusomea Upadri, lakini yeye alijua nini anatafuta!
Fiat Lux
Alipelekwa Peramiho kusomea Upadri, lakini yeye alijua nini anatafuta!
Mzengwe wa wanahabari ni moja ya video za mahojiano kati ya Jenerali na wataalam kutoka nyanja tofauti. Kanda hii ni ya majadiliano na wanahabari kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 nchini Tanzania. Itazame kanda hapa chini…...
Pan Africanism: The Re-membering of a Nation is a series of handbooks by Jenerali Twaha Ulimwengu and Azaveli Feza Lwaitama, PhD, targeting primarily students on the African continent and beyond who are pursuing secondary and tertiary education, as well as others who wish to educate themselves about Pan Africanism. The authors believe that people who have been compelled by geography and history to live the African experience will benefit from…...
Huu ni mkusanyiko wa makala zilizoandikwa katika safu ya “Rai ya Jenerali,” zilizoanza pamoja na gazeti la Rai, gazeti lililoanzishwa mwezi Novemba mwaka 1993 na kujipatia umaarufu mkubwa kwa muda mrefu kidogo. Makala hizi niliziandika kwa makusudi ya kuchokoza tafakuri, kuchangamsha mawazo na kuchochea fikra za kutafuta njia na mikakati ya kuiendeleza nchi yetu kwa kupambanisha bongo zetu. Muonekano wa juu wa kitabu hiki unatoa taswira ya ukurasa uliobeba makala…...
Kupitia mahojiano yangu na Bernard Kamilius Membe mwaka 2020 wakati wa kampeni za urais wa Tanzania....
Kupitia mahojiano yangu na Lazaro Samuel Nyalandu mwaka 2020 wakati wa kampeni za urais wa Tanzania....
Kupitia mahojiano yangu na Maalim Seif Sharif Hamad mwaka 2020 wakati wa kampeni za urais wa Zanzibar....
Kupitia mahojiano yangu na Tundu Antiphas Lissu mwaka 2020 wakati wa kampeni za urais wa Tanzania....
Oktoba 27 2025 Vyama vya siasa vinautathmini vipi Uchaguzi Mkuu 2025 siku mbili kabla ya Oktoba 29. || I || II...
Welcome to Mzengwe. A caucus where Jenerali Ulimwengu shares a platform with you to discuss matters that affect our society, politically, economically, culturally, and so forth. Jenerali Ulimwengu anakualika kujadiliana naye masuala mbalimbali ya kijamii, kisiasa, kiuchumi na kadhalika ....