Muislamu ‘khamsa-swalawat’  meneja shamba la kufuga nguruwe?

July 14 2014 Nimekuwa nikijadili, na kukemea, unafiki unaotutawala katika maisha yetu kam taifa. Tumefnaya unafiki umekuwa ni sehemu muhimu ya utu wetu , au labda niseme nakisi yetu katika utu. Unafiki umetuenea kiasi kwamba wengi wetu tunapona ni bora kusema uongo hata pale ambapo ingekuwa faida kwetu kusema ukweli. Hali hii haikuanza leo, ingawa sasa imekomaa. Nimewahi kusema mara nyingi kwamba tangu Awamu ya Kwanza ya utawala wa nchi…

Membership Required

You must be a member to access this content.

View Membership Levels

Already a member? Log in here