Rai ya Jenerali – Juzuu III

Huu ni mkusanyiko wa makala zilizoandikwa katika safu ya “Rai ya Jenerali,” zilizoanza pamoja na gazeti la Rai, gazeti lililoanzishwa mwezi Novemba mwaka 1993 na kujipatia umaarufu mkubwa kwa muda mrefu kidogo. Makala hizi niliziandika kwa makusudi ya kuchokoza tafakuri, kuchangamsha mawazo na kuchochea fikra za kutafuta njia na mikakati ya kuiendeleza nchi yetu kwa kupambanisha bongo zetu. Muonekano wa juu wa kitabu hiki unatoa taswira ya ukurasa uliobeba makala…

Membership Required

You must be a member to access this content.

View Membership Levels

Already a member? Log in here