Muislamu ‘khamsa-swalawat’  meneja shamba la kufuga nguruwe?

July 14 2014 Nimekuwa nikijadili, na kukemea, unafiki unaotutawala katika maisha yetu kam taifa. Tumefnaya unafiki umekuwa ni sehemu muhimu ya utu wetu , au labda niseme nakisi yetu katika utu. Unafiki umetuenea kiasi kwamba wengi wetu tunapona ni bora kusema uongo hata pale ambapo ingekuwa faida kwetu kusema ukweli. Hali hii haikuanza leo, ingawa sasa imekomaa. Nimewahi kusema mara nyingi kwamba tangu Awamu ya Kwanza ya utawala wa nchi…...

Membership Required

You must be a member to access this content.

View Membership Levels

Already a member? Log in here

Asiyejua kufa aangalie kaburi

1995 TAYARI zile siasa ninazoziongelea kila siku zimekwisha kujitokeza katika kampeni zinazofanywa kuhusu uchaguzi wa Oktoba mwaka 1995. Tayari baadhi ya washindani na mashabiki wao wamekwisha kufika mahali wakaona kwamba kampeni safi zisizo za kashfa hazitawawezesha kushinda katika uchaguzi. Tayari wameanza kutumia vigezo ambavyo havina uhusiano na uwezo wa mtu katika uongozi. Tayari dini imeingizwa katika mashindano ambayo tumesema yaamuliwe kwa misingi ya nani anaweza kuongoza Watanzania vyema zaidi kuliko…...

Membership Required

You must be a member to access this content.

View Membership Levels

Already a member? Log in here

Matone ya sumu kisimani

1995 KIPINDI kilichokuwa kinaelekea Uchaguzi Mkuu kilikuwa kipindi cha kusisimua kwa wote wanaohusika kutokana na ari isiyo ya kawaida iliyodhihirishwa na washiriki wa aina mbalimbali, wakiwamo mashabiki wao, wakiwamo wagombea, wasimamizi wa shughuli za uchaguzi, wachambuzi wa masuala ya kisiasa, waandishi wa habari, wachumia-tumbo katika msako wa mradi mpya, na kadhalika. Hii ni hali ya kawaida katika vipindi kama hivi, na wala haishangazi. Nchi zote duniani ambazo zimewahi kuandaa uchaguzi…...

Membership Required

You must be a member to access this content.

View Membership Levels

Already a member? Log in here