Mzengwe wa wanahabari ni moja ya video za mahojiano kati ya Jenerali na wataalam kutoka nyanja tofauti. Kanda hii ni ya majadiliano na wanahabari kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 nchini Tanzania. Itazame kanda hapa chini……
Uchaguzi 2025 – Mzengwe wa wanahabari